Jumatano, 30 Desemba 2015

DAWA YA HASANA

Dawa ya Hasana
Dawa ya Hasana sasa inapatikana kwa wote wenye maradhi mbali mbali yanayo patikana katika vinywa/ midomo. 
Iwapo unasumbuliwa na maradhi ya meno yenye kuuma, dawa ya HASANA ndio unayohitaji, iwapo unasumbuliwa na maradhi ya fizi zenye kutoa Damu, usipate dhiki tena HASANA inasuluhisho unayohitaji. Kama una kinywa chenye kutoa harufu mbaya, sasa unaweza tabasamu na kusema na watu bila wasi wasi wa harufu mbaya kutoka kinywani mwako kwani HASANA inashughulikia chanzo na kiini cha hio harufu mbaya na kuiondosha kabisa. Isitoshe kama unasumbuliwa na vidonda vya mdomoni HASANA ndio tiba unayo hitaji na pia wenye meno yenye kufa ganzi HASANA ndio suluhisho kamili kwa matatizo yote ya kinywa chako. 
Kwa maelezo zaidi au kujipatia HASANA yako leo wasiliana na Dr. Mketo kwa 
+255 773 241 200, +255 756 849 684, +255 715 849 684
whatsapp: +255 715 849 684

au Barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA