Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maajabu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maajabu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 9 Oktoba 2017

Mafuta ya nazi

Faida 10 za kutumia Mafuta ya Nazi

1. Mafuta ya nazi kwa afya ya Moyo: 
Mafuta ya nazi yana asidi mhimu sana kwa afya ya moyo iitwayo ‘lauric acid’ ambayo ina uwezo mkubwa kuuweka moyo wako katika hali ya afya na furaha kwa kuidhibiti kolesteroli/lehemu mbaya katika moyo na mwili kwa ujumla. Lauric acid huongeza uwepo wa kolesteroli nzuri mwilini ijulikanayo kwa kitaalamu kama High Density Lipoprotein (HDL) huku ikiishusha ile kolesteroli mbaya ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama Low Density Lipoprotein (LDL) jambo ambalo ni mhimu kwa afya ya moyo kama anavyosema Lovisa Nilsson, mtaalamu wa lishe wa Lifesum. 

2. Mafuta ya nazi huuongezea nguvu mfumo wa mmeng’enyo wa chakula: 
Hii ndiyo moja ya faida ya mafuta ya nazi niipendayo zaidi. Ndiyo mafuta ya nazi yanayo uwezo kusaidia kudhibiti uzito uliozidi kwa sababu mafuta haya ni mepesi kumeng’enywa na hayagandi kama yalivyo mafuta mengine mazito (fatty acids) jambo linalosaidia kuuondoa uzito uliozidi mwilini. Kutokana na kitendo hiki cha kuongeza uwezo wa mwili kukimeng’enya chakula, watu wanaoyatumia mafuta haya kupikia vyakula vyao kila siku kwa kawaida huwa na uzito wa kawaida. Anasema Geeta Sidhu Robb, mtaalamu wa lishe na mwanzilishi wa Nosh Detox. 

3. Mafuta ya nazi hung’arisha ngozi: 
Siyo sehemu za ndani tu ya mwili zinazofaidika na mafuta haya ya nazi kama yanavyofanya mafuta mengine ya asili, kama unataka kuwa na ngozi nzuri yenye mng’aro na yenye afya na yenye muonekano wa asili basi paka mafuta ya nazi kila siku kwenye ngozi yako, mafuta ya nazi yana uwezo mkubwa katika kuua bakteria, virusi, na vijidudu vya aina yeyote vinavyoweza kuidhuru ngozi, haya ni mafuta kwa mwili mzima yaani pakaa kwenye ngozi yote usoni, mwilini, kwenye nywele na kwenye kucha. Pia unaruhusiwa kuyatumia mafuta haya wakati wa masaji. 

4. Huongeza nguvu mwilini: 
Mafuta ya nazi ni chanzo kizuri cha nguvu ya mwili kwani yana sifa ya kuelea kwa kiasi kidogo kwenye damu ‘medium chain triglycerides – MCT’ ambapo sifa hii huyafanya kusafirishwa moja kwa moja hadi kwenye ini ambako hutumika kama chanzo cha haraka cha nguvu au hubadililishwa kuwa ‘ketones’ ambacho ni chakula cha ubongo. Kwahiyo ikiwa unatafuta lift ya kuinua nguvu yako basi chukua kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya nazi weka kwenye kikombe chako cha juisi au uji na utaona maajabu. 

5. Ni mafuta mubadala ya kupikia yenye afya: 
Tofauti na mafuta ya alizeti au hata mafuta ya zeituni, kupika chakula kwa mafuta ya nazi ni zaidi ya afya. Mafuta haya yana uwezo mkubwa wa kuungua na bado yakabaki na viinilishe vyake kama kawaida hata baada ya kuunguzwa au kuchomwa katika moto, hii ni kwamba mafuta kama ya zeituni ambayo huweza kuliwa hata yakiwa mabichi lakini yanapochomwa katika moto basi ubora wake hupungua au kwa maneno mengine huzalisha taka sumu kama ilivyo kwa vitu vingi vinapounguzwa lakini hili halitokei kwa mafuta ya nazi! 

6. Ni mafuta mazuri kwa wasiopenda kutumia mafuta yatokanayo na wanyama: 
Siyo kupika tu na mafuta ya nazi ndiko huleta afya, bali pia ni mafuta mazuri kwa wasiopenda kutumia mafuta yatokanayo na wanyama kama mubadala kwa siagi au vitu vingine mnavyopaka juu ya mikate mnapokula. Hii nikwa sababu mafuta ya nazi hubaki kuwa magumu hata katika joto la kawaida la chumba tofauti na mafuta mengine. 

7. Huzuia maradhi mengi hatari mwilini: 
Kama ilivyo katika kuipunguza kolesteroli, mafuta ya nazi yanao uwezo mkubwa katika kuzuia na kutibu magonjwa mengine sababu ya kuwa na kiasi kingi cha asidi iitwayo lauric acid. Utafiti mwingi umeendelea kuthibitisha kuwa hii lauric asidi hubadilishwa kuwa asidi mafuta nyingine ijulikanayo kwa kitaalamu kama ‘monolaurin’ ambayo inayo sifa ya kudhibit na kuvizuia baadhi ya virusi ikiwemo vile vya ukimwi kuziingia na kuzidhuru seli za mwili na kusababisha maradhi mwilini. Ili kutibu virusi vya ukimwi inashauriwa kunywa glasi 4 za tui la nazi kila siku kwa muda wa miezi mitatu mine na utaona maajabu. 

8. Hutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu: 
Hii inaweza ikakushangaza kidogo unapoisikia kwa mara ya kwanza lakini tafiti nyingi zimeonyesha kuwa mafuta ya nazi yanao uwezo kuziamusha seli na shughuli za ubongo na katika kufanya hivyo kutasaidia kuzuia matatizo ya uwendawazimu au ukichaa (dementia) na kupoteza kumbukumbu (Alzheimer). 

9. Hutumika kulainisha uke mkavu: 
Mafuta ya nazi yana matumizi mengi sana mwilini zaidi ya 100, kuna wanawake wana tatizo la kuwa na uke mkavu muda wote hata wakisisimuliwa vipi bado huwa wakavu, kuondokana na tatizo hilo pakaa mafuta ya nazi katika uke wako na utaona faida yake tena bila madhara yeyote hasi. 

10. Husaidia katika ugonjwa wa mzio/aleji: 
Tukisema tuelezee faida zote za mafuta ya nazi kwa hakika hatutaweza, moja ya faida zake zinazoshangaza wengi ni uwezo wa kudhibiti dalili za ugonjwa wa aleji, kila siku pakaa mafuta ya nazi ndani ya pua zako na uone kama utapiga chafya unapokuwa karibu na kile kinachokuletea aleji/mzio. 

MHIMU: Hakikisha unapata mafuta ya nazi ambayo ni ya asili kwa asilimia 100, ikiwa utanunua dukani kuna uwezekano mkubwa yakawa yamechanganywa na kemikali zingine au haidrogeni kitu kinachoyapunguzia thamani ile ya asili. Kama unapikia kwenye chakula najuwa wengi mnapenda wali wa nazi au hata tui lake likiwekwa kwenye samaki au hata mboga yoyote lazima utajing’ata ulimi, basi nakushauri usichanganye na mafuta mengine kwenye hicho chakula. 

Alhamisi, 31 Desemba 2015

SHETANI NA MARADHI

Baadhi ya vitabu vilivyo tungwa na Dr. Mketo

SHETANI NA MARADHI

NICHUKUE FURSA YA KWANZA KABISA KUMSHUKURU MUUBA KWA YOTE ALIYOTUTENDEA. NI SIKU MUHIMU SANA KWENU WASOMAJI WAPENDWA KUANZA KUNIFUATILIA KWENYE MTIRIRIKO AMBAO TUMEUANZA KUUELEZEAI KUMEKUWA NA MITAZAMO MBALIMBALI JUU YA MASHETANI KUWA NIVIUMBE WA NAMNA GANI KILA MWANADAMU AMEMUELEZEA KWA NAMNA YAKE. HIVYO BASI UNGANA NAMI KATIKA UCHAMBUZI HUU.

SHETANI NI NANI:
SHETANI SI JINA ILA NI SIFA AMBAYO ANAPEWA KIUMBE YEYOTE AMBAE ANAFANYA VITENDO VYA KUASI KUTOKUWA NA TABIA NJEMA KATIKA JAMII HATA WANYAMA NAO HUPEWA SIFA HIYO YA USHETANI HIVYO BASI TAMBUA KUWA SHETANI SI JINA ILA NI SIFA AU CHEO KIBAYA AMBACHO HUPEWA KIUMBE MBAYA.

KUNA UTOFAUTI KATIKA UUMBAJI WA VIUMBE.
MALAIKA     WAMEUMBWA       KWA NURU
MAJINI          WAMEUMBWA       KWA MOTO
WANADAMU WAMEUMBWA     KWA UDONGO

SASA BASI IKIWA UMENIELEWA KWA NINI MAJINI WANAITWA MASHETANI NI KUTOKANA NA KUWAHANGAISHA BINADAMU KUWA WENGI AMBAO HUFUNDISHA KUWA SHETANI NI KIUMBE MZURI TAMBUA KUWA SHETANI SI KIUMBE MZURI SHETANI HULETA MARADHI, SHETANI SI KIUMBE MZURI SHETANI HULETA MARADHI, SHETANI HAPENDI KUWAONA WATU WAPO HURU, EWE MSOMAJI SOMA VIZURI NA KWA UEZEWA UTAELEWA MAANA YANGU SHETANI HUPANDA KICHWANI NA KUTOA MASHARTI MBALI MBALI KUTAKA PETE, MUBZI, NJIWA N.K. HAYO NI BAADHI YA MATESO YA SHETANI. EWE NDUGU YANGU TAMBUA KUWA SHETANI AKITAKA CHOCHOTE ILI AKULINDE HUO SI MPANGO WA MUNGU BALI NI MIPANGO YAKE YA KUANZA KUKUSULUBU KWA KUWA NI SAWA NA JAMBAZI ALIYEKUTEKA NYARA NA KUTA MASHARTI YA KUKUACHIA HURU SHETANI YEYOTE ATAKAYEKAA KATIKA MWILI, HIVYO ANAPASWA ATOLEWE, ATOKE UWE HURU, UWE NA MAISHA HURU, MASHETANI HUWAINGILIA WATU USINGIZINI, HUHARIBU NDOA NA MIPANGILIO MBALIMBALI, HIZI NI BAADHI YA DALILI AMBAZO KAMA UNAZO TAMBUA KUWA UNA SHETANI.

(1)   KUUMWA NA KIZUNGUZUNGU.
(2)   TUMBO KUUMA SANA HASA CHINI YA KITOVU.
(3)   KUUMWA KICHWA UPANDE.
(4)   MOYO KUSHTUKA NA KWENDA MBIO MARA KWA MARA.
(5)   MWILI KUSHIKA MOTO.
(6)   TUMBO KUUMA SANA KIPINDI CHA HEDHI.
(7)   MAUMIVU WA TENDO LA NDOA.
(8)   KUPENDA KULIA BILA SABABU NA MWILI KUTINGISHIKA.
(9)   KUWA NA HASIRA NA MWLI KUWA MZOTO.
(10)  VITU KUTEMBEA MWILINI  
(11)  MENO YOTE KUUUMA.
(12)  KUTOTAMANI NDOA (KUPENDA KUACHA AU KUACHWA).
(13)  KUWA JEURI KUPITA KIASI.
(14)  MAUMIVU CHINI YA UTI WA MGONGO.
(15)  MOYO KUUMA KAMA UNANYANYASWA.
(16)  KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA.
(17)  KUOTA UNAYONYESHA, UNAZAA, UNAOLEWA.
(18)  KUSIMAMIWA NA MTU UKIGEUKA HUMUONI.
(19)  UKIOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA, MIMBA INAHARIBIKA.
(20)  KUOTA KUPAA ANGANI AU UPO BAHARINI.
(21)  KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA
(22)  NDOTO ZA KUTISHA.
(23)  KUTOJIPAMBA KWA AJILI YA MUME
(24)  MAGOMVI YASIYOISHA NDANI YA NDOA.
(25)  KUMCHUKIA MUME AU MKE.
(26)  KUTOPENDA KUOA AU KUOLEWA.
(27)  KUOTA UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE.
(28)  USINGIZI MWINGI.
(29)  HEDHI ISIYO NA MPANGILIO.
(30)  UJAUZITO USIOONEKANA.
(31)  KUTOKUWA NA AMANI MOYONI.

HIZO NI BAADHI YA SIFA AMBAZO UKIWA NAZO ANZA MIPANGO NA KUTAFUTA TIBA ZA KUPAMBANA NA MATATIZO.

IMEANDALIWA NA UST MKETO A. MKETO KUTOKA ZANZIBAR WENYE MATATIZO YA MASHETANI YAKUPANDA MAHABA MARADHI YA MENO, FANSASI, MATUMBO N.K

NJOO UPATE TIBA NA USHAURI. KUMBUKA MPANGO WA MUNGU NI KILA KIUMBE KIWE HURU. TUKUTANE WIKI IJAYO INSHAALAH.


WABILLAH TAWFIQ



WASILIANA NAMI KWA

 +255 773 241 200 / +255 715 849 684 / +255 785 849 684 / +255 756 849 684


Whatsapp +255 715 849 684


Mafuta ya kupambana na baadhi ya hayo maradhi sasa inapatikana wasiliana na Dr Mketo ujipatie dawa

Jumatano, 30 Desemba 2015

MAFUTA YA MAAJABU

MAFUTA YA MAAJABU YANATIBU MARADHI KWA IDHINI YA MWENYEZI MUNGU.


Mafuta ya Ajabu,
Baada ya kufanya utafiti na majaribio ya kihakika sasa imebainika kuwa mafuta haya ya maajabu kwa idhiini ya Mwenyezi Mungu yanatibu maradhi ya kichawi, maradhi ya kishetani, maumivu ya tumbo, kichwa, jino, kiuno na kadhadilika. 
Pia baada ya kujaribiwa imethibitika kua kinga dhiidi ya mashetwani aina zote. 
 Hayana madhara yoyote na ni rahisi kutumia kwa yeyote mwenye maradhi husika au kwa kinga ya maradhi hayo. Inapatikana kwa gharama nafuu ambayo kila mmoja anaweza kuimudu. Mafuta haya ya maajabu hufai kuyakosa nyumbani mwako. Fanya bidii wasiliana na Dr. Mketo ujipatie yako leo.
+255 715 849 684 au +255 773 241 200 
whatsapp: +255 715 849 684
au Barua pepe kwa kubonyeza hapa