Alhamisi, 31 Desemba 2015

Tabasamu





Tabasamu dawa ya maradhi mbali mbali pamoja na nguvu za kiume



NJOO UPATE TIBA NA USHAURI. KUMBUKA MPANGO WA MUNGU NI KILA KIUMBE KIWE HURU. TUKUTANE WIKI IJAYO INSHAALAH.


WABILLAH TAWFIQ




WASILIANA NAMI KWA

 +255 773 241 200 / +255 715 849 684 / +255 785 849 684 / +255 756 849 684


Whatsapp +255 715 849 684

SHETANI NA MARADHI

Baadhi ya vitabu vilivyo tungwa na Dr. Mketo

SHETANI NA MARADHI

NICHUKUE FURSA YA KWANZA KABISA KUMSHUKURU MUUBA KWA YOTE ALIYOTUTENDEA. NI SIKU MUHIMU SANA KWENU WASOMAJI WAPENDWA KUANZA KUNIFUATILIA KWENYE MTIRIRIKO AMBAO TUMEUANZA KUUELEZEAI KUMEKUWA NA MITAZAMO MBALIMBALI JUU YA MASHETANI KUWA NIVIUMBE WA NAMNA GANI KILA MWANADAMU AMEMUELEZEA KWA NAMNA YAKE. HIVYO BASI UNGANA NAMI KATIKA UCHAMBUZI HUU.

SHETANI NI NANI:
SHETANI SI JINA ILA NI SIFA AMBAYO ANAPEWA KIUMBE YEYOTE AMBAE ANAFANYA VITENDO VYA KUASI KUTOKUWA NA TABIA NJEMA KATIKA JAMII HATA WANYAMA NAO HUPEWA SIFA HIYO YA USHETANI HIVYO BASI TAMBUA KUWA SHETANI SI JINA ILA NI SIFA AU CHEO KIBAYA AMBACHO HUPEWA KIUMBE MBAYA.

KUNA UTOFAUTI KATIKA UUMBAJI WA VIUMBE.
MALAIKA     WAMEUMBWA       KWA NURU
MAJINI          WAMEUMBWA       KWA MOTO
WANADAMU WAMEUMBWA     KWA UDONGO

SASA BASI IKIWA UMENIELEWA KWA NINI MAJINI WANAITWA MASHETANI NI KUTOKANA NA KUWAHANGAISHA BINADAMU KUWA WENGI AMBAO HUFUNDISHA KUWA SHETANI NI KIUMBE MZURI TAMBUA KUWA SHETANI SI KIUMBE MZURI SHETANI HULETA MARADHI, SHETANI SI KIUMBE MZURI SHETANI HULETA MARADHI, SHETANI HAPENDI KUWAONA WATU WAPO HURU, EWE MSOMAJI SOMA VIZURI NA KWA UEZEWA UTAELEWA MAANA YANGU SHETANI HUPANDA KICHWANI NA KUTOA MASHARTI MBALI MBALI KUTAKA PETE, MUBZI, NJIWA N.K. HAYO NI BAADHI YA MATESO YA SHETANI. EWE NDUGU YANGU TAMBUA KUWA SHETANI AKITAKA CHOCHOTE ILI AKULINDE HUO SI MPANGO WA MUNGU BALI NI MIPANGO YAKE YA KUANZA KUKUSULUBU KWA KUWA NI SAWA NA JAMBAZI ALIYEKUTEKA NYARA NA KUTA MASHARTI YA KUKUACHIA HURU SHETANI YEYOTE ATAKAYEKAA KATIKA MWILI, HIVYO ANAPASWA ATOLEWE, ATOKE UWE HURU, UWE NA MAISHA HURU, MASHETANI HUWAINGILIA WATU USINGIZINI, HUHARIBU NDOA NA MIPANGILIO MBALIMBALI, HIZI NI BAADHI YA DALILI AMBAZO KAMA UNAZO TAMBUA KUWA UNA SHETANI.

(1)   KUUMWA NA KIZUNGUZUNGU.
(2)   TUMBO KUUMA SANA HASA CHINI YA KITOVU.
(3)   KUUMWA KICHWA UPANDE.
(4)   MOYO KUSHTUKA NA KWENDA MBIO MARA KWA MARA.
(5)   MWILI KUSHIKA MOTO.
(6)   TUMBO KUUMA SANA KIPINDI CHA HEDHI.
(7)   MAUMIVU WA TENDO LA NDOA.
(8)   KUPENDA KULIA BILA SABABU NA MWILI KUTINGISHIKA.
(9)   KUWA NA HASIRA NA MWLI KUWA MZOTO.
(10)  VITU KUTEMBEA MWILINI  
(11)  MENO YOTE KUUUMA.
(12)  KUTOTAMANI NDOA (KUPENDA KUACHA AU KUACHWA).
(13)  KUWA JEURI KUPITA KIASI.
(14)  MAUMIVU CHINI YA UTI WA MGONGO.
(15)  MOYO KUUMA KAMA UNANYANYASWA.
(16)  KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA.
(17)  KUOTA UNAYONYESHA, UNAZAA, UNAOLEWA.
(18)  KUSIMAMIWA NA MTU UKIGEUKA HUMUONI.
(19)  UKIOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA, MIMBA INAHARIBIKA.
(20)  KUOTA KUPAA ANGANI AU UPO BAHARINI.
(21)  KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA
(22)  NDOTO ZA KUTISHA.
(23)  KUTOJIPAMBA KWA AJILI YA MUME
(24)  MAGOMVI YASIYOISHA NDANI YA NDOA.
(25)  KUMCHUKIA MUME AU MKE.
(26)  KUTOPENDA KUOA AU KUOLEWA.
(27)  KUOTA UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE.
(28)  USINGIZI MWINGI.
(29)  HEDHI ISIYO NA MPANGILIO.
(30)  UJAUZITO USIOONEKANA.
(31)  KUTOKUWA NA AMANI MOYONI.

HIZO NI BAADHI YA SIFA AMBAZO UKIWA NAZO ANZA MIPANGO NA KUTAFUTA TIBA ZA KUPAMBANA NA MATATIZO.

IMEANDALIWA NA UST MKETO A. MKETO KUTOKA ZANZIBAR WENYE MATATIZO YA MASHETANI YAKUPANDA MAHABA MARADHI YA MENO, FANSASI, MATUMBO N.K

NJOO UPATE TIBA NA USHAURI. KUMBUKA MPANGO WA MUNGU NI KILA KIUMBE KIWE HURU. TUKUTANE WIKI IJAYO INSHAALAH.


WABILLAH TAWFIQ



WASILIANA NAMI KWA

 +255 773 241 200 / +255 715 849 684 / +255 785 849 684 / +255 756 849 684


Whatsapp +255 715 849 684


Mafuta ya kupambana na baadhi ya hayo maradhi sasa inapatikana wasiliana na Dr Mketo ujipatie dawa

Jumatano, 30 Desemba 2015

DAWA YA HAKKU

DAWA YA HAKKU
Dawa yua HAKKU imefanyiwa utafiti na uchunguzi na sasa imebainika kua suluhisho kamili ya matatizo sugu yanayo watesa wengi kimya kimya.
HAKKU inatibu maradhi ya gesi na kukosa choo
Kwa wanaosumbuliwa na mashetwani mahaba na mengineyo pia HAKKU imethibitika kua suluhisho kwa matatizo yako.
Iwapo ndoa inaelekea kuvunjika kwa kukosa nguvu za ndoa basi usisumbuke tena kwani HAKKU ni tiba kamili kwa ukosefu wa nguvu unazohitaji. Pia HAKKU inuwezo wa kutoa sumu mwilini na kumaliza maumivu mwilini bila kuwacha madhara yoyote mwilini. Imethibitishwa pia ni dawa ya tumbo la zingizi miongoni mwa maradhi mengine kama haya.
lwa maelezo zaidi wasiliana na Dr Mketo
+255 773 241 200, +255 756 849 684, +255 715 849 684
whatsapp: +255 715 849 684
au Barua Pepe kwa KUBONYEZA HAPA


DAWA YA HASANA

Dawa ya Hasana
Dawa ya Hasana sasa inapatikana kwa wote wenye maradhi mbali mbali yanayo patikana katika vinywa/ midomo. 
Iwapo unasumbuliwa na maradhi ya meno yenye kuuma, dawa ya HASANA ndio unayohitaji, iwapo unasumbuliwa na maradhi ya fizi zenye kutoa Damu, usipate dhiki tena HASANA inasuluhisho unayohitaji. Kama una kinywa chenye kutoa harufu mbaya, sasa unaweza tabasamu na kusema na watu bila wasi wasi wa harufu mbaya kutoka kinywani mwako kwani HASANA inashughulikia chanzo na kiini cha hio harufu mbaya na kuiondosha kabisa. Isitoshe kama unasumbuliwa na vidonda vya mdomoni HASANA ndio tiba unayo hitaji na pia wenye meno yenye kufa ganzi HASANA ndio suluhisho kamili kwa matatizo yote ya kinywa chako. 
Kwa maelezo zaidi au kujipatia HASANA yako leo wasiliana na Dr. Mketo kwa 
+255 773 241 200, +255 756 849 684, +255 715 849 684
whatsapp: +255 715 849 684

au Barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA


MAFUTA YA MAAJABU

MAFUTA YA MAAJABU YANATIBU MARADHI KWA IDHINI YA MWENYEZI MUNGU.


Mafuta ya Ajabu,
Baada ya kufanya utafiti na majaribio ya kihakika sasa imebainika kuwa mafuta haya ya maajabu kwa idhiini ya Mwenyezi Mungu yanatibu maradhi ya kichawi, maradhi ya kishetani, maumivu ya tumbo, kichwa, jino, kiuno na kadhadilika. 
Pia baada ya kujaribiwa imethibitika kua kinga dhiidi ya mashetwani aina zote. 
 Hayana madhara yoyote na ni rahisi kutumia kwa yeyote mwenye maradhi husika au kwa kinga ya maradhi hayo. Inapatikana kwa gharama nafuu ambayo kila mmoja anaweza kuimudu. Mafuta haya ya maajabu hufai kuyakosa nyumbani mwako. Fanya bidii wasiliana na Dr. Mketo ujipatie yako leo.
+255 715 849 684 au +255 773 241 200 
whatsapp: +255 715 849 684
au Barua pepe kwa kubonyeza hapa