 |
Baadhi ya vitabu vilivyo tungwa na Dr. Mketo
|
SHETANI NA MARADHI
NICHUKUE
FURSA YA KWANZA KABISA KUMSHUKURU MUUBA KWA YOTE ALIYOTUTENDEA. NI SIKU MUHIMU
SANA KWENU WASOMAJI WAPENDWA KUANZA KUNIFUATILIA KWENYE MTIRIRIKO AMBAO
TUMEUANZA KUUELEZEAI KUMEKUWA NA MITAZAMO MBALIMBALI JUU YA MASHETANI KUWA NIVIUMBE
WA NAMNA GANI KILA MWANADAMU AMEMUELEZEA KWA NAMNA YAKE. HIVYO BASI UNGANA NAMI
KATIKA UCHAMBUZI HUU.
SHETANI NI NANI:
SHETANI
SI JINA ILA NI SIFA AMBAYO ANAPEWA KIUMBE YEYOTE AMBAE ANAFANYA VITENDO VYA
KUASI KUTOKUWA NA TABIA NJEMA KATIKA JAMII HATA WANYAMA NAO HUPEWA SIFA HIYO YA
USHETANI HIVYO BASI TAMBUA KUWA SHETANI SI JINA ILA NI SIFA AU CHEO KIBAYA
AMBACHO HUPEWA KIUMBE MBAYA.
KUNA UTOFAUTI KATIKA UUMBAJI
WA VIUMBE.
MALAIKA
WAMEUMBWA KWA NURU
MAJINI
WAMEUMBWA KWA MOTO
WANADAMU
WAMEUMBWA KWA UDONGO
SASA
BASI IKIWA UMENIELEWA KWA NINI MAJINI WANAITWA MASHETANI NI KUTOKANA NA
KUWAHANGAISHA BINADAMU KUWA WENGI AMBAO HUFUNDISHA KUWA SHETANI NI KIUMBE MZURI
TAMBUA KUWA SHETANI SI KIUMBE MZURI SHETANI HULETA MARADHI, SHETANI SI KIUMBE
MZURI SHETANI HULETA MARADHI, SHETANI HAPENDI KUWAONA WATU WAPO HURU, EWE
MSOMAJI SOMA VIZURI NA KWA UEZEWA UTAELEWA MAANA YANGU SHETANI HUPANDA KICHWANI
NA KUTOA MASHARTI MBALI MBALI KUTAKA PETE, MUBZI, NJIWA N.K. HAYO NI BAADHI YA
MATESO YA SHETANI. EWE NDUGU YANGU TAMBUA KUWA SHETANI AKITAKA CHOCHOTE ILI
AKULINDE HUO SI MPANGO WA MUNGU BALI NI MIPANGO YAKE YA KUANZA KUKUSULUBU KWA
KUWA NI SAWA NA JAMBAZI ALIYEKUTEKA NYARA NA KUTA MASHARTI YA KUKUACHIA HURU
SHETANI YEYOTE ATAKAYEKAA KATIKA MWILI, HIVYO ANAPASWA ATOLEWE, ATOKE UWE HURU,
UWE NA MAISHA HURU, MASHETANI HUWAINGILIA WATU USINGIZINI, HUHARIBU NDOA NA
MIPANGILIO MBALIMBALI, HIZI NI BAADHI YA DALILI AMBAZO KAMA UNAZO TAMBUA KUWA
UNA SHETANI.
(1) KUUMWA NA
KIZUNGUZUNGU.
(2) TUMBO KUUMA SANA
HASA CHINI YA KITOVU.
(3) KUUMWA KICHWA
UPANDE.
(4) MOYO KUSHTUKA NA
KWENDA MBIO MARA KWA MARA.
(5) MWILI KUSHIKA
MOTO.
(6) TUMBO KUUMA SANA
KIPINDI CHA HEDHI.
(7)
MAUMIVU WA TENDO LA NDOA.
(8) KUPENDA KULIA
BILA SABABU NA MWILI KUTINGISHIKA.
(9) KUWA NA HASIRA
NA MWLI KUWA MZOTO.
(10) VITU KUTEMBEA
MWILINI
(11) MENO YOTE
KUUUMA.
(12)
KUTOTAMANI NDOA (KUPENDA KUACHA AU KUACHWA).
(13) KUWA JEURI
KUPITA KIASI.
(14)
MAUMIVU CHINI YA UTI WA MGONGO.
(15) MOYO KUUMA KAMA
UNANYANYASWA.
(16)
KUOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA.
(17) KUOTA
UNAYONYESHA, UNAZAA, UNAOLEWA.
(18) KUSIMAMIWA NA
MTU UKIGEUKA HUMUONI.
(19)
UKIOTA UNAFANYA TENDO LA NDOA, MIMBA INAHARIBIKA.
(20)
KUOTA KUPAA ANGANI AU UPO BAHARINI.
(21) KUOTA UNAFANYA
TENDO LA NDOA
(22) NDOTO ZA
KUTISHA.
(23) KUTOJIPAMBA KWA
AJILI YA MUME
(24) MAGOMVI
YASIYOISHA NDANI YA NDOA.
(25) KUMCHUKIA MUME
AU MKE.
(26) KUTOPENDA KUOA
AU KUOLEWA.
(27)
KUOTA UNAINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE.
(28) USINGIZI MWINGI.
(29) HEDHI ISIYO NA
MPANGILIO.
(30) UJAUZITO
USIOONEKANA.
(31) KUTOKUWA NA
AMANI MOYONI.
HIZO NI BAADHI YA SIFA
AMBAZO UKIWA NAZO ANZA MIPANGO NA KUTAFUTA TIBA ZA KUPAMBANA NA MATATIZO.
IMEANDALIWA NA UST MKETO A.
MKETO KUTOKA ZANZIBAR WENYE MATATIZO YA MASHETANI YAKUPANDA MAHABA MARADHI YA
MENO, FANSASI, MATUMBO N.K
NJOO UPATE TIBA NA USHAURI.
KUMBUKA MPANGO WA MUNGU NI KILA KIUMBE KIWE HURU. TUKUTANE WIKI IJAYO
INSHAALAH.
WABILLAH TAWFIQ
WASILIANA
NAMI KWA
+255 773 241 200 / +255 715 849 684 / +255 785 849 684 / +255 756 849 684
Whatsapp +255 715 849 684
 |
Mafuta ya kupambana na baadhi ya hayo maradhi sasa inapatikana wasiliana na Dr Mketo ujipatie dawa |